Kocha Gamondi ni Chaguo Sahihi Kuifundisha Taifa Stars Kwa Sasa….
Haya ni maamuzi magumu ambayo yamefanywa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF ya kuachana na Hemed Morocco Ukiacha maamuzi magumu pia wamefanya chaguo sahihi la kumchukua Miguel angel…