𝐏𝐞𝐩 𝐆𝐮𝐚𝐫𝐝𝐢𝐨𝐥𝐚 Ailaza Liverpool Kwenye Mechi yake ya 1000

𝐏𝐞𝐩 𝐆𝐮𝐚𝐫𝐝𝐢𝐨𝐥𝐚 amepata ushindi wake wa 716 kwenye mechi yake ya 𝟏𝟎𝟎𝟎 kama kocha baada ya kuiongoza Manchester City kuilaza Liverpool 3-0 katika dimba la Etihad.

Erling Haaland amefunga bao lake la 99 kwenye Ligi Kuu England huku ikipoteza mechi yake ya nne mfululizo ya ugenini kwenye Ligi hiyo kwa mara ya kwanza tangu 2012.

FT : Man City 3-0 Liverpool
❌ 13′ Haaland (P)
⚽ 29′ Haaland
⚽ 45+3′ Nico
⚽ 63′ Doku

MATOKEO MENGINE: EPL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Aston Villa 4-0 Bournemouth
Brentford 3-1 Newcastle
Crystal Palace 0-0 Brighton
Nottingham Forest 3-1 Leeds United

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *