Rashford alitoa pasi mbili za mabao hapo jana huku hatari kubwa zaidi mchezoni zikitokea upande wake.
Ni kweli kwamba anaweza kukatisha tamaa wakati mwingine anapokuwa hana mpira, lakini huwezi kukataa ukweli kwamba ni mtu hatari sana hasa kwenye matukio usiyoyategemea kila anapogusa mpira.
Hadi sasa ana Magoli 6 na Assist 8 kwenye mashindano yote … huku akiwa na assist 6 kwenye Laliga na hii inafanya awe kinara wa Assist pale HispaniaRash
