Kocha Miloud Hamdi Aondoka Yanga Licha ya Mafanikio ya Makombe
Kocha Miloud Hamdi Aondoka Yanga Licha ya Mafanikio ya Makombe Aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Miloud Hamdi amejiunga na Ismaily SC ya Egypt 🇪🇬 kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kocha…
Kocha Miloud Hamdi Aondoka Yanga Licha ya Mafanikio ya Makombe Aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Miloud Hamdi amejiunga na Ismaily SC ya Egypt 🇪🇬 kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kocha…
Jonathan Ikangalombo Kapela ameondoka Yanga✍️ Baada ya kudumu jangwani kwa miezi sita,hatimae Yanga kuachana na Ikangalombo. Winga huyo amepafomu chini ya kiwango na Yanga wameamuwa kumpa mkono wa kwa heri🖐️…
MILOUD HAMDI baada ya kutwaa makombe matatu amewagawa mabosi wa klabu hiyo na sasa wameanza kufikiria kumpa mkataba mpya tofauti na ilivyokuwa awali. Hamdi ambaye alianza kuitumikia Yanga, Februari 2025,…
FISTON MAYELE amemaliza mkataba wake na timu ya Pyramids na kwa taarifa za awali mchezaji huyo hatokuwepo kwenye kampeni za Pyramids msimu ujao. Klabu ya Al Fateh inayoshiriki ligi kuu…
Kennedy na Yanga Kwisha Habari Yake, Ila Mwamba Kaondoka na Rekodi za Kutisha Mshambuliaji wa Young Africans Raia wa Zambia Kennedy Musonda ameondoka Yanga SC Rasmi baada ya mkataba wake…
KRC GENK YA UBELGIJI, PYRAMIDS FC NA RS BERKANE ZAPIGANA VIKUMBO KUMSAJILI ELIE MPANZU Taarifa tulizozipata kutoka kwenye chanzo chetu cha kuaminika zinaeleza kuwa kuna klabu tatu zinazomfuatilia kwa karibu…
Burudani ya kidijitali nchini Tanzania imechukua mkondo mpya. Sasa, si tu kuhusu kutazama – ni kuhusu kushiriki. Vijana wa Kitanzania wamekumbatia njia mpya ya kufurahia muda wao kwa kucheza mchezo…
Taarifa zinabainisha kuwa, Yanga imekubaliana na Zamalek ya Misri inayotaka kumsajili Mzize kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia muafaka wa maslahi kwa pande hizo sambamba na uongozi unaomsimamia…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika…
HANS RAFAEL anasema kuwa “Kuna muda nashindwa kuelewa Wachezaji wa Yanga wanakula nini?” “Msimu huu wamecheza mechi zaidi ya 50 kwenye mashindano yote ila ukitazama kasi, utashi, Concentration, pressing na…