Wed. Nov 5th, 2025

Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue.

“Nimekosa Endorsement, kwa sababu nilichukua fomu nilipaswa kuirejesha.Kwa sasa imekuwa ngumu.Zamani chama cha soka kilikuwa na uwezo wa kuwaendorse watu zaidi ya mmoja lakini kwa sasa ni mmoja tu, tusubiri mamlaka zitaamua nini.”

-Ally Mayai.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *