Imagine Hakuna Mwandishi wa Manara Tv wala wa Chombo kingine aliyewahi kuniuliza kwa nini unasema Paccme atakuwa MVP wa Msimu huu wa 2024/25?
Hata yeye mwenyewe nilipomwambia kule Avic Town siku moja kabla ya Sherehe za wiki ya Wananchi,sikumuona kama alikuwa amenielewa !!
Yes nilimwambia nakuona unashinda tuzo ya mchezaji bora msimu huu unaokuja, akacheka tu.
Lakini nilishaiona miguu na akili yake kubwa Uwanjani na nikajiambia hatazuilika this season.
Now hakuna ubishi kwamba msimu wa 2024/25 Paccome’ Bugati ‘ anaenda kukabidhiwa Tuzo hii kubwa kabisa nchini
Haji Manara: Pacome Atakuwa MVP Msimu Huu Ligi Kuu