Tue. Nov 4th, 2025

Prince Dube anashikilia rekodi ya kufunga Hat-trick ya kwanza ya msimu ligi kuu akifunga kwenye mchezo uliochezwa Desemba 19, 2024,

Prince Dube alifikisha hat-trick (mabao matatu) na kuisaidia Young Africans kushinda 3‑2 dhidi ya Mashujaa FC kwenye uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam .

— Goli za Dube:

1. Dakika ya 7′ (kupitia pasi ya Pacome Zouzoua)
2. Dakika ya 21′ (kupitia pasi ya Clement Mzize)
3. Dakika ya 52′ (kupitia pasi ya Kibwana Shomari)

Mashujaa wao walifunga kupitia kwa David Ulomi (45′) na Idrisa Stambuli (62′)

Hii ilikuwa hat-trick ya kwanza msimu huu wa ligi kuu tangu ulipoanza Agosti 2024 .

Matokeo hayo yalisaidia Yanga kupanda nafasi tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 30 kutoka mechi 12 zilizochezwa.

Dube alikuwa wa moto sana siku hiyo akitwaa pia tuzo ya mchezaji bora wa mchezo (Man of the match)

Magoli 13
Assists 8
Dakika 1779
Michezo 2

Mchezaji wa mwisho kufunga Hat-trick anatoka Simba Jean Charles Ahoua akifunga April kwenye mchezo dhidi ya Pamba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *