Kocha Florent Ibenge Achukuliwa na Azam Kuwa Kocha Mkuu
Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano ya kumuajiri Kocha Florent Ibenge kutoka DR Congo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Baada ya makubaliano kukamilika, Ibenge ameondoka nchini na kwa sasa…
Mgogoro wa Derby ya Kariakoo Wafika FIFA, TFF Kuchunguzwa
Mgogoro wa Derby ya Kariakoo Wafika FIFA, TFF Kuchunguzwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) linatarajia Kufanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi…
Mangungu Awaonya Wanaotaka Kuchukua Nafasi ya Karia Urais TFF
Mangungu Awaonya Wanaotaka Kuchukua Nafasi ya Karia Urais TFF Mwenyekiti upande wa wanachama wa klabu ya Simba Sc mzee Murtaza Mangungu ni moja kati ya wadau wa kubwa wa soka…
Aviator: Rahisi kucheza kama 1-2-3 – Ushindi ndani ya sekunde chache!
Aviator: Rahisi kucheza kama 1-2-3 – Ushindi ndani ya sekunde chache! Mzuka wa mchezo wa Aviator uko juu kuliko wakati wowote! Huu ni mchezo rahisi, wa kasi, na wa kipekee…
Max Nzengeli ni Mchezaji Halali wa Yanga Hadi 2027, Apewa Mkataba Mpya
Max Nzengeli ni Mchezaji Halali wa Yanga Hadi 2027, Apewa Mkataba Mpya Maxi aliongeza mkataba wa miaka miwili kubaki Yanga,na kila kitu kilikamilika mwezi mmoja uliopita✅ Maxi ni kijani na…
Aziz Ki Kupangwa Mechi ya Wydad na Manchester City
Aziz Ki Kupangwa Mechi ya Wydad na Manchester City Stephane Aziz Ki amepangwa kuichezea Wydad Athletic Club ya Morocco katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia la Klabu…
Yanga Yakimbilia Zanzibar Kujificha Wakisubiria Dabi ya Kariakoo
Klabu ya Yanga inatarajiwa kuweka kambi visiwani Zanzibar kwaajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba utakaopigwa June 25. Hata hivyo Yanga pia itacheza…
Wanaotaka Urais TFF Uchaguzi ni Agosti 16
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga. Nafasi zinazogombewa ni Rais (Nafasi 1) na nafasi ya…
Messi na Miami yake Washindwa Kutamba Mbele ya Al Ahly Kombe la Dunia la Vilabu
Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare…
Haji Manara Atoa Tamko Baada ya Wallace Karia Kumsimamisha Kasongo
Almas Kasongo, aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, amekumbwa na mabadiliko makubwa baada ya kuondolewa kwenye nafasi yake. Hatua hii imeibua mjadala mpana katika duru za michezo, huku ikihusishwa…