Wed. Nov 5th, 2025

Max Nzengeli ni Mchezaji Halali wa Yanga Hadi 2027, Apewa Mkataba Mpya

Maxi aliongeza mkataba wa miaka miwili kubaki Yanga,na kila kitu kilikamilika mwezi mmoja uliopita✅

Maxi ni kijani na njano mpaka 2027.
Pacome nae ni kijani na njano hadi 2027.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *