Wed. Nov 5th, 2025

Klabu ya Yanga inatarajiwa kuweka kambi visiwani Zanzibar kwaajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba utakaopigwa June 25.

Hata hivyo Yanga pia itacheza mchezo wake wa Ligi wa June 22 dhidi ya Dodoma huko huko visiwani Zanzibar kwenye dimba la Amaan Complex.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *