
LEGEND, Edo Kumwembe:
“Naweka ahadi ya shilingi milioni moja kwa mchezaji yeyote wa ligi kuu ya Tanzania ambaye atafunga mabao matatu au manne ya frii kiki katika msimu huu. Nadhani ifikapo Mei bado pesa yangu itakuwa salama kwa sababu sioni mchezaji ambaye anaweza kufanya hivyo kwa sasa.”
.
Unamwamini nani kufanikisha hili?? au milioni ya Edo itabaki salama