December 20, 2025

Huu Hapa Ndio Mshahara Atakao Pata Mzize Baada ya Kukubali Kuongeza Mkataba Yanga

Mzize amekubali mshahara wa tsh 40m kwa mwezi kubaki Yanga.

Walichofanya Yanga ni kuongeza mpunga ila mkataba utabaki ule ule wa miaka miwili.

Msimu ujao Yanga wanataka kushindana kimataifa ndio maana hawako tayari kupoteza wachezaji wao muhimu.

So far ni Rahisi Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Mzize kondoka Yanga.