Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miloud Hamdi amezifundisha timu zote mbili (Yanga na Singida Black Stars) kwa nyakati tofauti.
Miloud hakufanikiwa kuiongoza Singida Black Stars kwenye mchezo wowote tangu alipotangazwa zaidi ya kuiongoza mazoezini.
Tangu atangazwe na klabu ya Yanga, Miloud Hamdi ameiongoza kwenye michezo 13, ameshinda michezo 12 na kutoa sare mchezo mmoja (1).