Nyota wa PSG, Achraf Hakimi Akabiliwa na Kesi ya Ubakaji
Nyota wa PSG, Achraf Hakimi, anaripotiwa kukabiliwa na kesi ya ubakaji inayodaiwa kuwa aliifanya baada ya kumwalika mwanamke nyumbani kwake karibu na jijini la Paris. Waendesha mashtaka wa Ufaransa wametia…