November 24, 2025

Aziz K Aandika Ujumbe Huu Baada ya Rafiki yake Dube Kufunga Goli

0
images-90.jpeg

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga Stephane Aziz Ki ambae kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Wydad AC ya Morocco kupitia ukurasa wake wa Insta story ameandika ujumbe wa kumpongeza mshambuliaji wa Yanga Prince Dube baada ya kufunga goli la ushindi kwenye mchezo wao Caf Champions League dhidi ya FAR Rabat

Aziz Ki ameandika ujumbe huo unaosomeka “God’s plan always perfect, Congratulations brother Prince Dube”

Akimaanisha “Mipango ya Mungu ni Bora zaidi, hongera sana kaka”.

Aziz Ki ametuma ujumbe huo kutokana na Prince Dube kupitia kipindi kigumu cha kupoteza nafasi nyingi toka msimu huu wa 2025/2026 kuanza, hivyo kufunga goli muhimu kwenye mchezo wa hatua ya Makundi dhidi ya Far Rabat huwenda ikamuongezea kujiamini na kurudi kwenye kiwango chake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *