Yanga Yawapiga Chenga Wauza Jezi Feki, Watoa Jezi Toleo la Pili
Yanga SC imetoa toleo la pili la jezi zao za msimu baada ya jezi zote za toleo la kwanza kuisha, Yanga imewapiga chenga ya mwili wauza jezi feki ambao wameingiza…
Yanga SC imetoa toleo la pili la jezi zao za msimu baada ya jezi zote za toleo la kwanza kuisha, Yanga imewapiga chenga ya mwili wauza jezi feki ambao wameingiza…
“Tumepokea maombi mengi kutoka kwa mashabiki wa Simba wakiomba kuchangia faini hiyo ya shilingi milioni 212 kwasa sababu wanasema kosa hilo ni lao. Na uongozi wa Simba umeridhia kabisa maombi…
Wema Sepetu ashambuliwa vibaya mitandaoni “kisa Umri wake alioutaja” adaiwa kudanganya umri wake
Arena inafahamu, licha ya makocha wengi kuomba nafasi ya kuifundisha Simba, uongozi wa klabu hiyo upo kwenye mazungumzo na kocha wa timu ya taifa ya Madagascar, Romuald Rakotondrabe, aliyeiongoza timu…
Afisa Habari wa Simba SCc, amesema kwamba mchezo wa klabu hiyo Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika Jumapili dhidi ya Gaborone United hautakuwa na mashabiki ndani ya uwanja, hatua iliyowekwa kufuatia…
“Siku zote Sifa ya timu kubwa ni kushinda kwa ushawishi,kwani performance nzuri inakupa assurance ya kushinda mechi ijayo” “Ndani ya miaka mnne iliyopita Mashabiki wa Yanga wamekuwa na kiburi kwani…
Kwa dakika chache alizopata Leo na Kucheza ameifanya siku yangu iishe vizuri sana wow wow wow what a player 💪👊⚽ Ana utulivu wa hali ya juu sana akiwa ana Mpira…
✍️ Alama tatu za kwanza kwa Lunyasi kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi , Magoli matatu + Cleansheet ndani ya dakika 90 Simba wamefanya nini ? ✍️ Simba na 4-2-3-1…
YANGA imeanza kwa kishindo Ligi Kuu kwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Pamba, lakini baada ya mchezo huo kumalizika Kocha Romain Folz alijifungia na mastaa na kuwawashia moto. Folz alikuwa…
KIKOSI cha Simba Vs Fountain Gate LeoTarehe 25 Sept 2025 Simba itamenyana na Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Septemba 25. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa…