
“Siku zote Sifa ya timu kubwa ni kushinda kwa ushawishi,kwani performance nzuri inakupa assurance ya kushinda mechi ijayo”
“Ndani ya miaka mnne iliyopita Mashabiki wa Yanga wamekuwa na kiburi kwani timu Yao inashinda mechi nyingi kwa kucheza mpira mkubwa”
“Romain Folz anashinda mechi Ila timu bado haijaungana vizuri,hii haimpi mapumziko kwani wananchi wanataka vyote ushindi na mpira mzuri……Folz bado ana kazi kubwa ya kufanya ili kutengeneza muunganiko wa timu na kuleta mpira mzuri la sivyo atahukumiwa haraka sana”
“To me miezi miwili inatosha kumpima kocha na hapo Kama timu itakuwa haijaungana basi nitaanza kumuhukumu”
By Hans Rafael