Azam FC Yafuzu Makundi CAF Kwa Mara ya Kwanza Chini ya Ibenge
HISTORIA imeandikwa, Azam FC imefuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa mara ya kwanza tangu klabu hiyo kuanzishwa miaka 21 iliyopita kufuatia ushindi wa jumla wa…
Ambangile; Nawasi Wasi na Yanga Mechi za Maamuzi Huwa Anaangukia Pua Kwa Mkapa
Ameandika George ambangile “!! Naaam itakuwa ni jambo kubwa, la heshima na la kihistoria endapo Tanzania itapeleka timu zote nne hatua ya Makundi CAF Champions League na Confederation Cup, Kwasasa…
Ambangile; Nawasi Wasi na Yanga Mechi za Maamuzi Huwa Anaangukia Pua Kwa Mkapa
Ameandika George ambangile “!! Naaam itakuwa ni jambo kubwa, la heshima na la kihistoria endapo Tanzania itapeleka timu zote nne hatua ya Makundi CAF Champions League na Confederation Cup, Kwasasa…
Kesho ni Kushambulia tu, Hakuna Kukaa Nyuma – Kocha wa Yanga
Kuelekea mchezo wa marudiano wa hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya Silver Striker Fc ya Malawi utakaopigwa kesho Oktoba 25, 2025, kocha Yanga Sc, Patrick…
Mchambuzi: Simba Wangekuwa na Kikosi Kama Cha Yanga Wangetwaa Ubingwa wa Afrika
Mchambuzi nguli nchini Dominic Salamba amesema Klabu ya Simba ingekua na kikosi angalau kama ilivyo Yanga,Azam na hata Singida Black Stars wangekua na uwezo wa kutwaa Ubingwa wa Afrika. Salamba…
Simba Yatajwa Kuwania Tuzo ya Club Bora Africa Tuzo za CAF
Klabu ya Simba Sports Club imeandika historia nyingine kubwa baada ya kutajwa miongoni mwa vilabu bora barani Afrika vinavyowania tuzo ya “Club of the Year – Men” kwenye tuzo za…
Kapombe, Mayele vita mpya tuzo za CAF
Dar es Salaam. Shomari Kapombe na Fiston Mayele hawajakutana uwanjani tangu Mayele alipojiunga na Pyramids FC ya Misri mwaka 2023 akitokea Yanga.Hata hivyo wawili hao sasa wamejikuta wakikutanishwa lakini nje…
Jurgen Klopp afichua sababu za kukataa kuifundisha Manchester United
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefichua sababu zilizomfanya kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United kabla ya kuchukua mikoba ya Liverpool mwaka 2015. Akizungumza katika mahojiano maalum,…
Shaffih Dauda: Kocha Fadlu Davis Hana Deni Timu ya Simba
Leo ni Siku nyingine ya kuwakumbusha umuhimu wa kumshirikisha Kocha kwenye usajili Simba SC ya Meneja Pantev , ndio Simba hii hii ambayo kwa majuma kadhaa nyuma ilikuwa chini ya…
Edo Kumwembe: Alaumiwe Eng Hersi Kwa Kuleta Yanga Kocha Mwanafunzi
Edo Kumwembe: Alaumiwe Eng Hersi Kwa Kuleta Yanga Kocha Mwanafunzi Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali.…