Hapa Ndipo Lilipo Tatizo la Azam Ligi Kuu Licha ya Uwekezaji Mkubwa
Tangu mara ya mwisho Kipre Tchetche kuchukua kiatu cha ufungaji bora 2012/13 Azam Fc haijawahi kutoa mfungaji bora tena kwa zaidi ya miaka 10 mpaka sasa. Ni feisal pekee aliyefukuzana…
Yacouba na Tabora United Hapatoshi, Aenda FIFA Kisa Madeni
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yacouba Songne amesema amepeleka malalamiko Fifa, baada ya kutolipwa mshahara wa miezi minne na kutomaliziwa ada ya usajili. Yacouba ambaye…
Msimu wa Mabao Ligi Kuu Tanzania, Rekodi Yavunjwa
WAKATI Ligi Kuu ikienda ukingoni. tayari rekodi ya ufungaji wa mabao msimu huu imevunjwa, tofauti na ilivyokuwa kwa msimu uliopita, ambapo hadi sasa yamefungwa jumla ya mabao 544, ikiwa ni…
Huyu Hapa Mchezaji wa Kwanza Kufunga Hat Trick Ligi Kuu Msimu Huu
Prince Dube anashikilia rekodi ya kufunga Hat-trick ya kwanza ya msimu ligi kuu akifunga kwenye mchezo uliochezwa Desemba 19, 2024, Prince Dube alifikisha hat-trick (mabao matatu) na kuisaidia Young Africans…
Ally Mayai: Nimekosa Endorsement Mtu Mmoja Kachukua Zote, Nimerudisha Form
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue. “Nimekosa…
Wallace Karia Awaburuza Mayai na Msola Urais TFF
Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) Ndugu. Wallace Karia huenda akasalia kama mgombea pekee katika kinyanganyiro cha nafasi ya Urais katika Shirikisho hilo la mpira wa…
Karia Kazi Anayo, Kiongozi wa Yanga Achukua Form Kuwania Urais TFF
Homa ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeanza kupamba moto wakati leo ikiwa siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali…
Jean Charles Ahoua Anamaanisha, Awakimbia Mzize na Dube
Jean Charles Ahoua Anamaanisha, Awakimbia Mzize na Dube Katika mbio za ufungaji bora, kiungo wa Simba, Jean Charles Ahoua ameendelea kuwakimbia washambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na Prince Dube. Ahoua…
Hii Hapa Safari ya Sowah Kwenda Wananchi Yanga, Mipango Imenyooka Kama Rula
Hii Hapa Safari ya Sowah Kwenda Wananchi Yanga, Mipango Imenyooka Kama Rula JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na…
Shaffih Dauda Atia Neno Haji Manara Kudai Pacome Anaenda Kuwa MVP wa Ligi Kuu
PACOME ANAFAA KUWA MVP WA LIGI MSIMU HUU – HAJI MANARA Nimeona video ya aliyekua msemaji wa Yanga, Haji Manara akisema kuwa ‘MVP’ wa msimu huu wa Ligi kuu NBC…