Wed. Nov 5th, 2025

SIMPLE kwasasa ni ngumu kukabiliana na Yanga yenye Chama & Pacome : wanaifanikisha timu kufika kwenye eneo la mwisho kwa urahisi sana .

Utulivu wakiwa na mpira , Pasia mpira kwa usahihi , shambulia nafasi vizuri ukiwa na mpira na bila mpira then hakikisha unatumia nafasi vizuri ( Rahisi tu Chama angetoka na Hattrick leo )

Huu mnara wa 5G kwa Yanga umekuwa back to back kwa Wananchi 🔰

DARASA KWENYE KIUNGO 🔥

Salum Sure Boy ( BABU KAJU ) anatoa darasa kwenye kiungo : Pasia mpira kwa usahihi na kwenye maeneo sahihi then hakikisha kabla ujapokea mpira ujue wapi mpira unaelekea 👏 ubora wa kuscan nafasi .

Kwenye dakika 45 za kwanza nafikiri ndio mchezaji aliyepiga pasi nyingi sahihi kwenye mchezo huu ….. Hii Comb ya Chama na Pacome 🔥 wanashambulia nafasi vizuri sana ( Wides area & Half Spaces )

Maxi Nzegeli Mpia akiwa na mpira anajua kuulinda ✅ Physicality yake 👍

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *