Wed. Nov 5th, 2025

Sasa ni Rasmi vilabu vya Tanzania Yanga na Simba zitakuwa pot moja ya pili Klabu Bingwa Afrika.
Hii ni baada ya Ligi ya Algeria kumalizika Jana na JS KABYLE kuizuia CR blouizdad kufuzu klabu Bingwa
Msimamo wa Ubora uko hivi:
1.Ahly✅️
2.Mamelodi✅️
3.Esperance✅️
4.Berkane✅️
5.Pyramids✅️
6.Simba✅️
7.Zamalek❌️
8.Wyda❌️
9.USMA❌️
10.CR Belouizdad❌️
11.Yanga✅️
12.Asec❌️
13.Al hilal✅️

Kwa hyo Pots 2 za kwanza zitakuwa hivi:
➡️POT 1
AHL 🇪🇬
MAMELODI 🇿🇦
ESPERANCE 🇹🇳
Berkane 🇲🇦

➡️POT 2
Pyramids 🇪🇬
Simba 🇹🇿
Yanga 🇹🇿
Hilal 🇸🇩

UFUNGUO:
✅️Zimefuzu Klabu Bingwa
❌️Hazijafuzu Klabu Bingwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *