Mashabiki wa SIMBA Kuchangia Faini ya Milioni 200
“Tumepokea maombi mengi kutoka kwa mashabiki wa Simba wakiomba kuchangia faini hiyo ya shilingi milioni 212 kwasa sababu wanasema kosa hilo ni lao. Na uongozi wa Simba umeridhia kabisa maombi…
Wema Sepetu Ashambuliwa Vibaya Mitandaoni “Kisa Umri Wake Alioutaja” Adaiwa Kudanganya Umri wake
Wema Sepetu ashambuliwa vibaya mitandaoni “kisa Umri wake alioutaja” adaiwa kudanganya umri wake
Unaambiwa Simba Mkazo wa Kocha Wote Uko Kwa Kocha Huyu
Arena inafahamu, licha ya makocha wengi kuomba nafasi ya kuifundisha Simba, uongozi wa klabu hiyo upo kwenye mazungumzo na kocha wa timu ya taifa ya Madagascar, Romuald Rakotondrabe, aliyeiongoza timu…
Simba Kucheza Mechi ya Jumapili Bila Mashabiki kwa Mkapa
Afisa Habari wa Simba SCc, amesema kwamba mchezo wa klabu hiyo Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika Jumapili dhidi ya Gaborone United hautakuwa na mashabiki ndani ya uwanja, hatua iliyowekwa kufuatia…
Mchambuzi: Nampa Kocha Folz Miezi Miwili La Sivyo Nitamuhukumu
“Siku zote Sifa ya timu kubwa ni kushinda kwa ushawishi,kwani performance nzuri inakupa assurance ya kushinda mechi ijayo” “Ndani ya miaka mnne iliyopita Mashabiki wa Yanga wamekuwa na kiburi kwani…
Itoshe tu kusema huyu bwana mdogo Morice Ibrahim anajua sana boli ni Zaidi ya kipaji hiki
Kwa dakika chache alizopata Leo na Kucheza ameifanya siku yangu iishe vizuri sana wow wow wow what a player 💪👊⚽ Ana utulivu wa hali ya juu sana akiwa ana Mpira…
Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Fountain Gate, Makosa Binafsi Yamewagharimu Fountain
✍️ Alama tatu za kwanza kwa Lunyasi kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi , Magoli matatu + Cleansheet ndani ya dakika 90 Simba wamefanya nini ? ✍️ Simba na 4-2-3-1…
Kocha Romain Folz Awa Mbogo, Awakalisha Chini Wachezaji Yanga Waliocheza Kipindi cha Kwanza na Pamba Jiji
YANGA imeanza kwa kishindo Ligi Kuu kwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Pamba, lakini baada ya mchezo huo kumalizika Kocha Romain Folz alijifungia na mastaa na kuwawashia moto. Folz alikuwa…
KIKOSI cha Simba Vs Fountain Gate LeoTarehe 25 Sept 2025
KIKOSI cha Simba Vs Fountain Gate LeoTarehe 25 Sept 2025 Simba itamenyana na Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Septemba 25. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa…
MATOKEO Simba Vs Fountain Gate Leo Tarehe 25 Sept 2025
MATOKEO Simba Vs Fountain Gate Leo Tarehe 25 Sept 2025 Simba itamenyana na Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Septemba 25. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa…