Tue. Nov 4th, 2025

Taarifa Kutoka kwenye Chanzo changu chenye hofu ya muda kimeniambia Yanga SC wameshamfuta kazi Romain Folz na kwasasa yupo nchini Afrika ya kusini.

Soon wanamtangaza kocha mpya kwaajili ya kuiandaa timu kwenda kucheza mchezo wa ligi ya Mabingwa wa mkondo wa pili na Silver Striker ya Malawi