Tue. Nov 4th, 2025

Kocha wa Timu ya Taifa, Suleiman Morocco ametangaza kikosi cha Taifa Stars kitachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu kombe la Dunia.

Katika kikosi hicho nyota mpya wa Yanga Sc, Mohamed Hussein Zimbwe ameachwa, Andabwile, Naldo, Shomari Kapombe katemwa na Mshambuliaji Kelvin John hajaitwa kwa mara nyengine.

YAPI MAONI YAKO JUU YA HILI?