December 20, 2025

Yanga Waanza Msimu wa LIGI ya Mabingwa Kwa Ushindi

Wananchi wanaelekea kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika na faida ya pointi 3 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Williete Sc ya Angola katika dimba la dimba la Ombaka, Benguela.

FT: Williete Sc 🇦🇴 0-3 🇹🇿 Yanga Sc
⚽ 32’ Andabwile
⚽ 71’ Edmund
⚽ 81’ Dube

MARUDIANO: Septemba 27, 2025
Yanga Sc 🇹🇿 vs 🇦🇴 Williete Sc (agg. 3-0)