Unaambiwa Mo Dewji Yupo Kwenye Mazungumzo na NABI na Gamondi Kutaka Huduma ya Mmoja Wapo Simba

REAKING NEWS: Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na Makocha wawili ambao ni Nasredine Nabi aliyeko Kaizer Chiefa na Kocha Miguel Gamondi ambaye yupo katika klabu ya Singida BS.
Mwekezaji wa Simba, Mo Dewji anafanya maxungumzo hayo na makocha hawa ili kuweza kupata mmoja kati yao aje achukue nafasi Fadlu Davids ambae muda wowote anatimka katika klabu hiyo.
Simba inatafuta Makocha ambao wana udhoefu na Mpira wa Afrika pamoja na soka la Tanzania .
Je ni yupi anafaa kutua Simba kati ya Nabi na Gamondi ?
