Baada ya mechi, Kocha wa Taifa Stars, Hemed Morocco anasema kilichoigharimu timu hiyo ni uchovu kwa wachezaji huku nahodha Mbwana Samatta akiipongeza Niger “wametupa mchezo mzuri”

Samatta pia amewataka wachezaji wenzake wa kikosi hicho wajitahidi kusahau haraka matokeo ya mchezo huu

Kwa upande wake Kocha wa Niger, Ibrahim Zacharia amefichua siri ya ushindi wao wa dhidi ya Tanzania.

FT: Tanzania 0-1 Niger