Yanga SC imekamilisha Usajili wa aliyekuwa Nahodha wa Simba Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’.

Mchakato wa Kumsajili Zimbwe Jr ulikamilika Jana Usiku Muda mfupi Baada ya Mchezaji huyo kuwaaga Waajiri wake wa Zamani Simba.

Tayari Mkataba Umesainiwa Rasmi na Picha za Utambulisho zimepigwa kwa ajili ya utambulisho wa Mchezaji huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *