Wed. Nov 5th, 2025

DEAL DONE: RASMI Fondoh Molene Ajiunga na USM Alger

Klabu ya USM Alger ya Nchini Algeria imekamilisha Usajili wa beki wa kati wa Cameroon Che Fondoh Malone kutoka Simba SC baada ya kumaliza mkataba wake.

Kila kitu Kimekamilika, Tayari Mchezaji ametumiwa Tiketi ya Ndege kusafiri kuelekea Algeria Kujiunga na USM Alger.

Makubaliano ya mwisho yamekamilika tangu wiki iliyopita na wakati wowote kutoka sasa Che malone atasafiri kwenda Algeria kusaini mkataba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *