Dickson Job Ndio Mchezaji Mfano Kwa Wachezaji Wazawa, Tumpeni Maua yake
DICKSON JOB NICKSON , One of the best Defender! Kutoka Morogoro akiwa ndani ya jezi ya Mtibwa Sugar hadi Kariakoo Jijini Dar es Salaam akiwa kwenye uzi wa Young Africans…
DICKSON JOB NICKSON , One of the best Defender! Kutoka Morogoro akiwa ndani ya jezi ya Mtibwa Sugar hadi Kariakoo Jijini Dar es Salaam akiwa kwenye uzi wa Young Africans…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwaka wa 2025/2026 utaanza rasmi tarehe 16 Septemba, 2025. Hii ni taarifa inayotarajiwa…
Meseji Konki ya Khalid Aucho Akiwaaga Yanga Kwa Uchungu: AUCHO amesema kuwa “Familia yangu pendwa,Ninasema wakati umefika wa kufunga sura isiyoweza kusahaulika katika maisha yangu” “Katika misimu minne iliyopita,nimepata hisia…
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kocha Fadlu amepiga pause baadhi ya sajili kuelekea msimu ujao akiwataka viongozi kutafuta Quality zaidi na kama watakosa basi ndio wachukue hao wa chezaji…
BREAKING: FIFA imewaondolea Singida Black Stars,adhabu ya kutosajili baada ya kulipa madeni yote ya wachazaji wao watatu. Awali Singida walikumbana na Rungu la FIFA baada ya kushindwa kulipa Stahiki za…
UPDATE: Nyota wa Simba Kibu Denis Kurejea Tanzania, Vipi Kuhusu Majibu ya Majaribio Nyota wa Simba Kibu Denis (26) ataingia Tanzania jioni ya leo ili kuungana na timu kwenye pre-Season…
Aliyekuwa beki wa kati wa Simba SC, Che Fondoh Malone, sasa ni mchezaji halali wa klabu ya USM Alger ya Algeria baada ya kufuzu vipimo vya afya na kusaini mkataba…
“Mkataba ambao tumeingia unakwenda kuleta mapinduzi kwenye mchezo wa soka hapa Tanzania na unakwenda kuongezea nguvu dhamira ya Simba kuwa klabu namba moja barani Afrika.” “Udhamini huu ambao thamani yake…
Kwa aina ya usajili wa Fadlu Davids namuona akifanya mabadiliko ya mfumo kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-3 mabadiliko yamechochewa na aina ya wachezaji ambao Simba SC wamesajili msimu huu. Ubora wa…
How to control turns on skis at high speeds At high speeds, every turn requires precision and perfect balance. A mistake in lean or weight transfer can cost valuable seconds…