November 21, 2025

Ahmedy Ally Achukulii Poa Mchezo wa Simba na Petro Atletico, Awataadharisha Mashabiki

0
images-86.jpeg

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally akiwa kwenye hamasa za timu ya Simba maeneo ya Pugu Kinyamwezi amewataka mashabiki wakaisapoti klabu yao ya Simba itakapocheza dhidi ya Petro Atletico siku ya Jumapili tarehe 23/11/2025 ili kuwaongezea nguvu wachezaji.

Ahmed amesema kula klabu ya Petro Atletico kutoka Angola ni wapinzani wagumu sana kwa Simba nguvu ya mashabiki inahitajika sana kuongeza morali kwa wachezaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *