Klabu ya Simba imeondolewa katika kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora Afrika ambapo CAF imetangaza timu tatu zilizoingia fainali ya kuwania tuzo hiyo.
Klabu zilizoingia fainali ni Pyramid(Misri), RS Berkane( Morocco) na Mamelodi Sundown(Afrika Kusini)
