Viingilio Mechi ya Yanga vs Wiliete SC Leo Terehe 27 Sept 2025
Yanga SC imetangaza rasmi viingilio vya mechi yao ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wiliete SC kutoka Angola, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi tarehe 27 Septemba 2025 katika…