
Ki ufupi haikuwa vita ya karibu sana kama tulivyo dhani. Hizi ndio alama za jumla za BALLON D`OR 2025
- Dembele alama 1380
- Lamine Yamal alama 1059
- Vitinha alama 703
- Mohamed Salah alama 657
- Raphinha alama 620
- Achraf Hakimi alama 484
- Kylian Mbappé alama 378
- Cole Palmer alama 211
- Donnarumma alama 172
- Nuno Mendes alama 171
Dembele alimuacha Yamal kwa kura 321 kura nyingi sana