Mchambuzi: Kwa Sasa Kila Mchezaji wa Yanga Anaonekana wa Kawaida Sana
Kwa sasa kila mchezaji wa Yanga anaonekana wa kawaida sana. Hii inatokana na jinsi timu inavyocheza kwa sasa — haichezi kama timu na hakuna mfumo unaowawezesha wachezaji kuonyesha ubora wao…
SportPesa Tanzania’s aviator and Spin the Wheel are turning small stakes into big winnings
SportPesa Tanzania’s aviator and Spin the Wheel are turning small stakes into big winnings SportPesa Tanzania’s Aviator and Spin the Wheel are revolutionizing digital entertainment, transforming small stakes into big…
Kapombe, Zimbe na Kelvin John Watemwa Kikosi Kipya cha Taifa Stars
Kocha wa Timu ya Taifa, Suleiman Morocco ametangaza kikosi cha Taifa Stars kitachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu kombe la Dunia. Katika kikosi hicho nyota mpya wa Yanga Sc,…
Mbeya City Wakataa Kutoa Mchango wa Harusi Kwa Yanga, Yaliyojiri Kwenye Mchezo Huo
Anaandika @kelvinrabson_ ✍️ Nafikiri kabla ya kuangalia ubora na madhaifu kwenye mchezo huu , changamoto kubwa ilikuwa ni pitch mpira hautulii na ilipelekea kukosa ubora kwa timu zote mbili .…
Ukweli Mchungu ni Kwamba Yanga Wamesajili Vizuri, ila Benchi Lao la Ufundi Bado Lina Mapungufu
Football ni Mchezo wa wazi,mtu atakwambia uwanja ulikuwa changamoto,ila tujiulize kwenye viwanja vizuri hapa Dar es salaam tumefanikiwa kuiona ile Yanga ya kweli? Muda mwingine kocha anaweza kujificha kwenye ushindi…
UVCCM Yamvaa Rais wa TEC ‘Kauli Yake Inavunja Mshikamano’
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema amesikitishwa na kile alichodai ni matamshi ya Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki…
Simba Wapo Kwenye Hatari, Ahoua Hajitumi Ipasavyo – Saleh Jembe Afunguka
Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na kama akiendelea hivi, anapaswa kuanzia benchi. Saleh amesema alishawahi kumzungumzia…
Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini! Mchezo huu unatarajiwa Oktoba…
Uchambuzi Mechi ya SIMBA na Gaborone, Kikubwa Simba Wamefuzu ila……
Gaborone walianza game vizuri sana na waliingia tofauti na mchezo wa kwanza “Suprise” ni vile walikosa usahihi wa maamuzi yao kwenye actions zao za mwisho …. Kivipi ? 1: Walipata…
Simba Sc Imetinga Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)
Simba Sc imetinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 2-1 dhidi ya Gaborone United katika dimba la Benjamin Mkapa. Mnyama alishinda 1-0…