
Simba Sc imetinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 2-1 dhidi ya Gaborone United katika dimba la Benjamin Mkapa.
Mnyama alishinda 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kulazimisha sare ya 1-1 nyumbani katika mchezo ambao Mnyama alionesha kiwango kisichoridhisha.
Simba Sc itachuana na Nsingizini Hotspurs ya Nchini Eswatini iliyotinga raundi ya pili kufuatia ushindi wa penalti dhidi ya Simba Bhora Fc ya Zimbabwe kufuatia sare ya jumla ya 1-1.
FT: Simba Sc 🇹🇿 1-1 🇧🇼 Gaborone United (Agg. 2-1)
⚽ 45+4’ Ahoua (P)
⚽ 59’ Ditsele (P)