Tue. Nov 4th, 2025

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na kama akiendelea hivi, anapaswa kuanzia benchi.

Saleh amesema alishawahi kumzungumzia mchezaji huyo siku za nyuma watu wakampinga lakini sasa inajidhihirisha wazi kwamba Ahoua hajitumi ipasavyo awapo uwanjani.