
Simba Sc imechukua alama zote tatu dhidi ya Gaborone United kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) huku Singida Black Stars ikiilaza Rayon Sport ya Rwanda kwenye kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)
Ni muendelezo wa ushindi kwa timu za Tanzania kwenye michuano ya Afrika baada ya Yanga Sc kuilaza Williete Sc ya Angola kwenye CAFCL kabla ya Azam Fc kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya El Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini kwenye CAFCC l.
FT: Gaborone Utd 🇧🇼 0-1 🇹🇿 Simba Sc
⚽ 15’ Mpanzu
FT: Rayon Sports 🇷🇼 0-1 🇹🇿 Singida BS
⚽ 23’ Tchakei