Mchambuzi: Kwa Sasa Kila Mchezaji wa Yanga Anaonekana wa Kawaida Sana
Kwa sasa kila mchezaji wa Yanga anaonekana wa kawaida sana. Hii inatokana na jinsi timu inavyocheza kwa sasa — haichezi kama timu na hakuna mfumo unaowawezesha wachezaji kuonyesha ubora wao…