Shaffih Sauda “Feisal Ndiye Kiungo Bora Kwa Sasa Nchini
Leo nna mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi 1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi 2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili…
Leo nna mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi 1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi 2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili…
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Jean Baleke, amefunguka na kusema wazi kuwa anajutia uamuzi wa kujiunga na klabu hiyo, huku akidai kuwa chaguo lake la kwanza alipoondoka Simba, lilikuwa ni…
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetoka nyuma 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Senegal kwenye mashindano ya CECAFA ya Mataifa matatu katika dimba la Black Rhinos, Karatu Tanzania.…
Uongozi wa Singida Black umewafahamisha mashabiki, wapenzi na wadau wake juu ya kuridhia mshambuliaji Jonathan Sowah kusajiliwa Simba kwa makubaliano maalum. Taarifa ya Singida Black Stars imeeleza kuwa, makubaliano hayo…
Klabu ya Simba imemalizana na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah, Simba wamependekeza kumpa Feisal mkataba wa miaka miwili pekee, ambapo atahudumu Simba SC kuanzia msimu wa 2025-2026 mpaka…
Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC wamemtambulisha rasmi Romain Folz kuwa Kocha wao Mkuu mpya akichukua nafasi ya Miloud Hamdi. Wasifu wa Romain Folz kwa ufupi Ana umri wa…
“Naamini jina Langu litakumbukwa kama nahodha mwenye mafanikio katika klabu ya Simba kwa kufanikiwa kuipeleka Simba hatua ya Fainali. Najivunia hilo na naimani litaandikwa kwa wino mwekundu”.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele amesema August 28 hadi October 27, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za Urais, Wabunge…
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino, ameipongeza rasmi Klabu ya Yanga kwa mafanikio yake makubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu…
Mo Dewji amezua gumzo baada ya kutua Uwanja wa Ndege akiwa ameambatana na beki wa nguvu kutoka Afrika Kusini, Rushine De Reuck, ambaye wengi wanamtambua kama MVP kwenye ligi yao.…