Tue. Nov 4th, 2025

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya 🇰🇪Kenya Benni McCarthy anaamini kundi A ndio lilikuwa kundi la kifo, na katika kuthibitisha hilo, 🇹🇿Tanzania itasimulia baada ya mchezo dhidi ya 🇲🇦Morocco.

” Tanzania watapata kile tulichokipata sisi kwenye kundi la kifo, nahitaji majibu baada ya mchezo wao.”

  • Benni McCarthy, Kocha mkuu wa Harambee Stars.