.”Yanga SC walikosea kumuacha Khalid Aucho. Kuna njia mbili za kuachana na mchezaji wa aina yake. Moja awe amepata timu na mnamuuza na kupata pesa, pili awe amepoteza nafasi kikosini. Yote mawili hayapo. Hapa Yanga SC wamekosea. Aucho bado alikuwa na nguvu ya kuipambania timu. Katika misimu minne ya ubora wa Yanga SC, Aucho alikuwa nguzo katika mafanikio ya timu. Lakini pia siko hapa kwa ajili ya kumpigia debe.
Ricardo Momo × Wasafi FM
