Mchezaji Ibrahim Bacca Kuikosa Mechi ya Kariakoo Derby

Mchezo wa Young Africans dhidi ya Tanzania Prisons ulikuwa unakamilisha michezo mitano (5) ya Mlinzi Ibrahim ‘Bacca’ kwenye adhabu yake aliyopewa kwenye mchezo wa ligi kuu baada ya kumchezea vibaya Ibrahim Ame wa Mbeya City,

Kwa bahati mbaya mchezo huo ukasogezwa mbele mchezo huo kunamfanya Bacca kuukosa mchezo wa Derby dhidi ya Simba utakaopigwa December 13 mwaka huu Young Africans wakiwa wenyeji wa mchezo huo.

Michezo ya Yanga ijayo kwenye mashindano yote ni :-

Vs Far Rabat (home)
Vs Js Kabylie (Away)
Vs Namungo (Away)
Vs Coastal (Home)
Vs Simba Sc (Home)

Michezo hii itasimama hivyo hivyo kama tu hakuta kuwa na mabadiliko ya ratiba ya Wananchi.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *