Kocha Harambe Stars Afurahia Taifa Stars Kukutana na Morocco “Watapata Tabu Sana”
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya 🇰🇪Kenya Benni McCarthy anaamini kundi A ndio lilikuwa kundi la kifo, na katika kuthibitisha hilo, 🇹🇿Tanzania itasimulia baada ya mchezo dhidi ya 🇲🇦Morocco.…