December 16, 2025

Taifa Stars Uhakika Kukomba 1.4 Bilioni Mashindano ya AFCON

0
stars.jpg

Michuano ya AFCON inayotarajia kufanyika nchini Morocco mwezi huu December inaenda kuandika historia mpya kiuchumi kwa timu zote 24 zinazoshiriki huku zikitengwa Dola 32 Million kama zawadi.

Mgawanyo wa fedha hizo ni;

  • Bingwa – Ths Bilioni 14.4
  • Nafasi ya pili – Ths Bilioni 8.4
  • Ukiishia nusu fainali – Ths Bilioni 6
  • Ukifika hadi mwisho (Fainali) utakusanya – Ths Bilioni 27.8
  • Timu ikitolewa 16 bora – Ths Bilioni 1.9
  • Timu bora 3 zitakazotolewa hatua ya makundi – Ths. Bilioni 1.68
  • Timu 6 zitakazomaliza nafasi ya nne – Ths Bilion 1.4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *