Wasafi Sports Arena: Yanga na TFF Hapakaliki, Deni Laibua Mapya, Simba Waitaka Dabi
Wasafi Sports Arena: Yanga na TFF Hapakaliki, Deni Laibua Mapya, Simba Waitaka Dabi
Tunakuletea Habari Mbali Mbali za Michezo Kutoka Tanzania
Wasafi Sports Arena: Yanga na TFF Hapakaliki, Deni Laibua Mapya, Simba Waitaka Dabi
Simba Wafanya Maamuzi Magumu, Augustine Okejepher Kupewa Thank You Kiungo mkabaji wa Club ya Simba Augustine Okejepher hatokuwa sehemu ya Kikosi cha Simba msimu ujao mara baada ya uongozi wa…
Maskini Mzize, Wingi wa Mawakala Watibua Deal Lake Zamaleki Klabu ya Zamalek ya Misri, imesimamisha rasmi kwa muda mchakato mzima wa kunasa saini mshambuliaji nyota wa Yanga, Clement Mzize baada…
Yanga Waijibu Tena TFF, Hatujalipwa Misimu Mitatu Klabu ya Young Africans SC kupitia taarifa yake imeeleza wazi kuwa haijawahi kupokea malipo yoyote ya zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho…
PRESS | Ally Kamwe โUongozi wa Yanga umeweka Takwa la kujiuzulu kwa Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidao kwa sababu , wote tumeona namna msimu huu umemekuwa na maamuzi ya…
Uongozi wa Yanga Sc wameweka bayana mambo makuu manne ambayp wameyawasilisha kwa Bodi ya Ligi ili yafanyiwe kazi ndio wacheze Kariakoo Derby. NB: WANANCHI WAMEINGIA NA NYUKLIA VITA YA MAPANGA…
๐ดLIVE: Bodi ya Ligi na Yanga Wakutana Kujadili Dadi/Yanga Wakataza? Sports Arena Wasafi 9/6/2025 ๐ด #LIVE: BODI YA LIGI NA YANGA WAKUTANA KUJADILI DABI / YANGA WATAKAZA? (SPORTS ARENA 9/6/2025)
๐๐๐๐๐: Mamelodi Sundowns ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini kwa msimu wa 2024/25 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Chippa United usiku huu huku wakifikisha 70 baada ya…