December 20, 2025

Simba Waibomoa Mamelodi Sundowns, Mchezaji Huyu Adakwa

Simba Waibomoa Mamelodi Sundowns, Mchezaji Huyu Adakwa

NEON MAEMA NI MNYAMA 📌

Wekundu wa Msimbazi Simba SC Wamekamilisha Usajili wa Kiungo Mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Neon Maema mwenye Umri wa miaka 29 Kwa Mkopo wa Msimu Mmoja.

Maema Anatarajiwa Kujiunga na Simba Baada ya Mashindano ya CHAN.

Neon Maema Ni Mapendekezo na Mahitaji ya Kocha Fadlu Davids.