Zimbwe “Jina Langu Litaandikwa Kwa Wino Mwekundu Simba”
“Naamini jina Langu litakumbukwa kama nahodha mwenye mafanikio katika klabu ya Simba kwa kufanikiwa kuipeleka Simba hatua ya Fainali. Najivunia hilo na naimani litaandikwa kwa wino mwekundu”.
- Mohamed Hussein – Tshabalala.
