Yacouba na Tabora United Hapatoshi, Aenda FIFA Kisa Madeni
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yacouba Songne amesema amepeleka malalamiko Fifa, baada ya kutolipwa mshahara wa miezi minne na kutomaliziwa ada ya usajili. Yacouba ambaye…