Mohamed Hussein Zimbwe Afunguka Tetesi za Kutokuwa na Furaha Yanga
Beki wa kushoto wa Yanga SC, Mohamed Hussein “Zimbwe Jr”, amevunja ukimya kufuatia tetesi zilizosambaa mitandaoni zikidai hana furaha tangu ajiunge na Wananchi akitokea Simba SC. “Hizi habari watu wanazitoa…